Mwalimu wa sayansi kutoka eneo la kijijini nchini Kenya , ambaye hutoa sehemu kubwa ya mshahara wake kwa ajili ya kuwasaidia wanafunzi maskini zaidi , ameshinda tuzo la dola milioni moja ($1m ) kwa ...
Ni mwezi mmoja tu umemalizika tangu mwalimu wa sayansi kutoka Kenya aliposhinda tuzo ya mwalimu bora duniani kutokana na kazi yake. Peter Tabichi alituzwa dola milioni moja kwa kulea akili ya vizazi ...
Mwalimu wa hesabu na fizikia kutoka shule moja ya sekondari katika kijiji kinachopatikana eneo la bonde la ufa nchini Kenya, ameshinda tuzo ya mwalimu bora mwaka 2019 ...
Rais wa Marekani Donald Trump amekutana na Mwalimu Peter Tabichi, raia wa Kenya aliyeshinda tuzo ya kila mwaka ya Mwalimu bora duniani. Tabichi alikutana na rais Trump katika Ikulu ya Marekani jijini ...